Habari za Punde

Siku ya wazaza skuli ya Maandalizi ya Star yafana Kichungwani Pemba

 WANAFUNZI wa mwaka wa kwanza na wa mwaka wa pil,i wa skuli ya Maandalizi ya Star iliopo Kichungwani wilaya ya Chakechake Pemba, wakifuatilia hafla ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WAZAZI na walezi wa watoto wanaosoma skuli ya Maandalizi ya Star, iliopo Kichungwani wilaya ya Chakechake, ambao walihudhuria siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MWALIMU wa Maandalizi ya star wilaya ya Chakechake kisiwani Pemba, Hawa Abdalla, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis, sambamba na mahafali ya watoto wanaomaliza elimu ya maandalizi skuli kwake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZI wa skuli ya Maandalizi ya Star, wakiingia uwanjani, kwa wimbo wa makaribisho, kwenye hafla ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tensi mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa mwaka wa kwanza na wa mwaka wa pil,i wa skuli ya Maandalizi ya Star iliopo Kichungwani wilaya ya Chakechake Pemba, wakifuatilia hafla ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZI na skuli ya Maandalizi ya Star, iliopo Kichungwani wilaya ya Chakechake, wakionyesha ngonjera ya umuhimu wa kutanguliza jina la Muumba, katika kila jambo, kwenye hafla ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZ wa skuli ya Maandalizi ya star wilaya ya Chakechake kisiwani Pemba, wakiwa kwenye tamthilia ya umuhimu wa kusoma hadithi, ikiwa ni sehemu ya hafla ya sherehe ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis, sambamba na mahafali ya watoto wanaomaliza elimu yao ya maandalizi skulini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 WANAFUNZI wa skuli ya Maandalizi ya Star, wakiwa kwenye mchezo maalum wa kupasua mabofu kwa kutumia mgongo, kwenye hafla ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tensi mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WANAFUNZI wa skuli ya Maandalizi ya Star iliopo Kichungwani, wilaya ya Chakechake, wakilishana matunda wakiwa wamezibwa macho, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba
 WANAFUNZI wa skuli ya Maandalizi ya Star iliopo Kichungwani, wilaya ya Chakechake, wakionyesha umahiri wao, wa mchezo wa kamba, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.