Habari za Punde

Wauza samaki soko la Chakechake mnakera!Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya Wafanyabiashara hususan wauza Samaki katika eneo la mjini Chake Chake kufanya biashara katika lango la kuingilia Stendi ya Gari bila ya kujali usalama wao na wananchi wengine, wakati mlango wa kuingilia na kutoka katika Stend hiyo ni mmoja tu.

Picha na Bakar Mussa-Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.