Habari za Punde

Zanzibar ni Njema Kwa Wageni na Wenyeji wa Zanzibar.

Watalii wanaofika kutembelea Zanzibar hupata fursa za kutembelea katika maeneo mbalimbali ya historia ya Zanzibar katika maeneo mbalimbali ya Visiwa hivi kama walivyokutwa Watalii hawa wakiwa katika maeneo ya mji mkongwe wa Unguja katika mitaa ya shangani wakipiga picha kwa ajili ya kumbukumbu jengo la Marcury shangani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.