Habari za Punde

Kocha Morocco akiweka hadharani kikosi cha Zanzibar Heroes dhidi ya Uganda KeshoNa Abubakar Khatib Kisandu, Kisumu Kenya.

Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza kesho kwenye mchezo wa nusu fainali Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar dhidi ya Uganda katika uwanja wa Moi uliopo Kisumu nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 09:00 za Alaasiri.

ZANZIBAR HEROES
1.  Mohammed Abrahman Mohd (Wawesha) 18
2.  Ibrahim Mohd Said (Sangula) 15
3.  Adeyum Ahmed Seif 20
4.  Abdulla Salum Kheri (Sebo) 13
5.  Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6.  Abdul azizi Makame Hassan (Abui) 21
7.  Mohd Issa Juma (Banka) 10
8.  Mudathir Yahya Abass 4
9.  Ibrahim Hamad Ahmada “Hilika” 17
10.                   Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) 3
11.                   Suleiman Kassim  Suleiman “Seleembe” 7 (Captain)

AKIBA
1.  Ahmed Ali Suleiman (Salula) 1
2.  Nassor Mrisho Salim 30
3.  Mohd Othman Mmanga 6
4.  Ibrahim Abdallah Hamad 2
5.  Abdullah Haji Shaibu (Ninja) 5
6.  Seif Abdallah Rashid (Karihe) 12
7.  Hamad Mshamata Makame 9
8.  Khamis Mussa Makame (Rais) 28
9.  Abdul swamad Kassim Ali (Hasgut) 22

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.