Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Afungua Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja leo.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja, Ramadhani Abdallah Ali, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Coconut Marumbi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia  Suluhu Hassan, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Coconut Marumbi kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM pia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi. Sauda Mpambalioto alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Coconut Marumbi kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, (katikati) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Sadala kushoto na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali, wakielekea ukumbi wa mkutano katika hoteli ya Coconut marumbi Unguja
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja kufungua mkutano huo na kuchagua Viongozi wa Mkoa, uliofanyika katika Hoteli ya Coconut Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja. 
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa Kusini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wake kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Msimamizi wa Uchaguzi huo Profesa Makame Mbarawa na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Taarifa ya Utendaji ya CCM  Mkoa wa Kusini Unguja, kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Unguja kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Juma Abdallah Mabodi.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakihudhuria hafla hiyo katika Ukumbi wa Hoteli ya Coconut Marumbi. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagalia taarifa za Utekelezaji wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kukabidhiwa kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdalla Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Nyenzo za utendaji Kazi za CCM Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Chwaka Mwalimu Mussa Jecha, wakati wa mkutano huo, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhani Abdallah Ali na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeri rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kufungua Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa coconut marumbi Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Wilaya ya Kusini UngujaMSIMAMIZI Mkuu wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Mkoa wa Kusini Unguja Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa zoezi la kupiga kura likiaza katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Unguja
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdallah Juma Mabodi akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga kura yake kuwachagua Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano Mkuu uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya coconut marumbi Wilaya ya Kusini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia Mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Coconut Marumbi Wilaya ya Kusini Unguja.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM pia ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakitoka katika viwanja vya Hoteli ya Coconut Mrumbi baada ya kupiga kura zao na ufunguzi wa Mkutano huo Mkuu wote wakiwa Wajumbe. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.