Habari za Punde

Sherehe za Uvishwaji kwa akinamama walezii wa SOS


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais wa SOS Duniani Father Siddhartha Kaul mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguja katika Sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar.katikati ni Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Shadya Mohammed Suleiman.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuwasalimia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Wakina mama walezi 18 wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar waliovishwa Pete katika sherehe zilizofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
 Rais wa SOS Duniani Father Siddhartha Kaul akitoa hotuba yake kuhusianana lengo la kuwekwa vituo vya kulelea watoto SOS Duniani katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein kushoto akimvisha Pete ya SOS Mama mlezi wa SOS Fatma Suleiman Haji anaelea Watoto Nyumba Namba Nne katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein wanne kutoka kulia akiwa na Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Shadya Mohammed Suleiman katika Picha ya pamoja na Wakina mama walezi waliovishwa Pete katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na Zanzibar hafla iliofanyika katika kiwanja cha SOS Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguj.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.