Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Maroco akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Omar Hassan King wakiwasili katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kuipongeza Timu hiyo kwa hatua iliofikia katika michuano ya Kombe la Chalenji Nchini Kenya yaliomalizika wiki iliopita. kwa kufungwa katika mchezo wa Fainali na Timu ya Kenya kwa matruta 3-2.
Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Azungumza na Waendesha Bodaboda,Wakulima wa Viungo na
Wajasiriamali
-
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapin...
18 minutes ago
No comments:
Post a Comment