Habari za Punde

Wafanyakazi Zantel kwenye bonanza la michezo na kupanga mikakati ya Kampuni kwa mwaka 2018.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel wakishiriki kucheza mpira wa miguu katika uwanja wa Malindi hivi karibuni mjini Zanzibar, baada ya wafanyakazi hao kukutana mjini humo katika hafla ya kupanga mikakati ya Kampuni hiyo kwa mwaka 2018.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kushiriki shindano la mpira wa miguu katika uwanja wa Malindi hivi karibuni mjini Zanzibar, baada ya wafanyakazi hao kukutana mjini humo katika hafla ya kupanga mikakati ya Kampuni hiyo kwa mwaka 2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.