Mkurugenzi Mkuu
wa Zantel, Sherif El-Barbary (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa
Zantel-Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha wakati wa kampeni ya kutoa elimu na
usajili wa wateja iliyofanyika hivi karibuni katika soko la Darajani lililopo
Stone Town, mjini Zanzibar.

Baadhi ya
wauzaji wa huduma na bidhaa za Zantel wakitoa elimu na kufanya usajili wa
wateja wapya wakati wa kampeni ya elimu na usajili wa wateja iliyofanyika hivi
karibuni katika soko la Darajani lililopo Stone Town, mjini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment