Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi
wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya
kikazi kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao. Katika
ziara hiyo Naibu Waziri aliongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani na
Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (hayupo
pichani
Waziri wa Mambo ya Ndani na
Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye, akizungumza
katika mkutano wa hadhara na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za
Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma, ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua zoezi la
urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao
Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za
Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma wakinyoosha mikono juu baada ya kuulizwa wangapi wanataka kurudi nchini kwao na Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), katika
mkutano wa hadhara ikiwa ni ziara ya kikazi ya naibu waziri kukagua zoezi la
urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani na
Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (kulia),
wakipiga ngoma baada ya kuwasili katika uwanja ulipofanyika mkutano wa hadhara
uliowahusisha wakimbizi wa Burundi
wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma. Ziara hiyo lengo
lake ni kukagua zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani na
Mafunzo ya Uzalendo kutoka serikali ya Burundi, Pascal Barandagiye (kulia),
wakiagana baada ya kumaliza kuzungumza na wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na
Mtendeli, mkoani Kigoma. Ziara hiyo lengo lake ni kukagua zoezi la urejeshwaji
wa wakimbizi hao katika nchi yao
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni, akizungumza na wakimbizi
wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nduta na Mtendeli, mkoani Kigoma,
baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara ikiwa ni ziara ya kikazi kukagua
zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi hao katika nchi yao.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO
CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment