Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni tayari wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar akiongozana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu 
Khamis Rashid Kheri.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.