Habari za Punde

Rais Dkt Magufuli aagiza usajili wa meli mpya usitishwe mara moja

RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa kwa meli 5 zinazopeperusha bendera ya Tanzania zikiwa na dawa za kulevya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.