Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa Fumba leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Viongozi wa Serikali wakisubiri kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea kiwanda cha utengenezaji wa malighafi ya ujenzi wa Nyumba za Kisasa Fumba Town, akipata maelezo kutoka kwa Muwekezaji wa Mradi huo. Sebastian Dietzold

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Fumba Town Sebastian Diatzod akitowa maelezi wakati alipotembelea kiwanda cha kutengenezea vifaa vya ujenzi wa nyumba hizo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.