Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, Awatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ua Utumishi Uliotukuka Ikiwa ni Kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo 11-1-2018 kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo 11-1-2018.kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi wa Watunukiwa wa Nishani za Mapinduzi Baadhi ya Watunikiwa wa Nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla ya Kutunukiwa Nishani zao.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifaa Maalum Bi. Fatma Said Ali, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Jaji Damiain Z Lubuva, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Abdulsalam Issa Khatib. hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum, Maulid Salum, hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Mwakilishi wa Marehemu Rajab Kheri, Mussa Rajab Kheri mtoto wa mwisho wa marehemu akipokea nishani hiyo kwa niaba ya familia yao,hafla hiyi imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Salum Nassor Said (MKWECHE) hfla hiyo ya kukabidhiwa nishani hizo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Lt Col. Mstaaf Songoro Abdi Waziri, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanziba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuki Nishani ya Mapinduzi Viongozi Wenye Sifa Maalum Msanii Maarufu wa Taarab Zanzibar Mwanacha Hassan Kijore, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Utumishi wa Serikali Saleh Sadik Osman, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakihudhuria hafla ya kukabidhiwa Nishani Watumishi wa Serikali iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
BAADHI ya Watunukiwa wa Nishani na Wawakilishi wakiwa katika viwanja vya Ikulu wakisubiri kutunukiwa Nishani zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
BAADHI ya waalikwa wakiwa katika viwanja vya Ikulu wakihudhuria hafla ya kutunukiwa nishani za Mapinduzi na Utumishi wa Serikali hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.