Habari za Punde

Uzinduzi wa Barabara ya Jendele Cheju Unguja Ukuu Kaebona Mkoa wa Kusini Unguja leo Ikiwa Shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume, alipowasili katika kijiji cha jendele kwa ajili ya Uzinduzi wa Barabara ikiwa ni shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanziba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Uzinduzi wa Barabara ya Jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib, hafla hiyo imefanyika katika barabara hiyo jendele ikiwa ni shamrashamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 54.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria uizindu wa barabara mpya kutoka jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika eneo la jendele Wilaya ya Kusini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata Utepe kuashiria uizindu wa barabara mpya kutoka jendele hadi Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika eneo la jendele Wilaya ya Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe baada ya uzinduzi wa barabara hiyo ya Jendele hadi Unguja Ukuu wakitembea.

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.