Habari za Punde

Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa Zanzibar Heroes Yakabidhiwa Viwanja Vyao Tunguu Zanzibar.

Waziri wa Ardhi Maji Nishati na MazingiraMhe.Salama Aboud Talib,akimkabidhi hati ya kiwanja mmoja wa Wachzaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes,ukiwa ni ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein kuwazawadia viwanja Kwa kuonesha Ushujahaa katika Michuano ya Afrika Mashariki kufikia hatua ya Fainali ya michuano hiyo na kutolewa Kwa penenti. Viwanja hivyo viko katika eneo la Tunguu Zanzibar. Jumla ya Wachzaji 33 wamekabidhiwa viwanja hivyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.