Habari za Punde

Jengo la Jumba la Treni Likiwa Katika Mazingira ya Umalizaji wa Ujenzi Wake.

Jumba la Treni katika eneo la Darajani Zanzibar liendelea na Ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya CRJE Kutoka Nchini China likiwa katika hatiu za mwisho ya ujenzi huo kama linavyoonekana pichani hatua kubwa ya ujenzi huo umekamilika.

 Jengo hilo liko katika Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Jengo hlo likiwa na Maduka ya Kisasa. na nyumba za makazi kwa Wananchi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.