Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa NINAYO, Jack Langworthy akiwa ameshika tuzo aliyopewa kwenye maonyesho ya Wajasiriamali ya AMBA 2018 yaliyofanyika jijini London hivi karibuni.
LONDON: Kampuni ya Kitanzania ya NINAYO, imeshinda Tuzo ya Ubora ya MBA (MBA Excellence Awards) katika maonyesho ya kijasiriamali. Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji, Jack Langworthy wa NINAYO, ameipokea tuzo hiyo ya mwaka wakati wa chakula cha jioni tuzo zilizoandaliwa na Chama cha AMBAs (AMBA) tarehe2 Februari 2018 jijini London.
NINAYO.com ni mtandao wa biashara wa kilimo uliotumiwa na wakulima zaidi ya 30,000 na masoko katika Nyanda za juu Kusini ya Tanzania ambapo ilifanya tukio la kukumbukwa Ijumaa usiku. Lengo la kuanzisha tovuti ni kwamba: Kuwapa wakuliama na soko taarifa wanazohitaji kuunganisha kwa ufanisi zaidi.
NINAYO inatoa huduma hIyo bure, kwa wale wanaotumia mitandao ya Airtel na Vodacom kwa kuingia kupitia tovuti ya 0.freebasics.com/ inayokuunganisha moja kwa moja kwenye mtandao.
Alipoulizwa kuhusu huduma hiyo, Langworthy alielezea, "Bei ya bidhaa daima itakuwa ni ile unayoweza kufanya makubaliano. Niliona wakulima wengi wakiwa na uwezo mdogo wa kufanya makubaliano wakati kipindi tunajitolea kupitia Peace Corps. Volunteer. Kulikuwa na fursa ya kuwawezesha wakulima kwenye kupata habari za biashara ambazo zingewasaidia kuwainua kutokana na umaskini. Kupitia NINAYO sasa wakulima wanaweza kuwasiliana na mamia ya wanunuzi moja kwa moja, kwa njia ya simu, SMS, au kwenye tovuti. Wanunuzi wanapenda pia tovuti pia na kila mtu anafanikiwa."
NINANYO ilizinduliwa Tanzania mwaka 2015 na inatumia vyanzo vingi vya data ili kutoa mwanga wa biashara kwa watumiaji wake. Watumiai wa NINAYO zaidi ni wakulima wadogowadogo ambapo wanaweza kupata pesa nyingi kwa kuuza maradufu kupitia mfumo huo wa biashara. Kwa kuondokana na madalali, wakulima na masoko wanaweza kufanikiwa.”
NINAYO imeanza kutumia data za kibiashara zilizokusanywa kwa kutoa mikopo ya majaribio kwa wakulima wasiojiunga na benki kwa ushirikiano na UNCDF DF+
NINAYO imeleta uwekezaji kutoka kwa Silicon Valley na kuwekeza nchini Tanzania kupitia washirika wao Expa Labs ambako huko wajasiriamali wengi wamefanikiwa.
NINAYO alipata hamasa zaidi na kuweka mkazo kutoka kwa San Francisco inayoendeshwa na mwanzilishi mwenza wa Uber, Garrett Camp, ambazo teknolojia zao zinatikisa kwenye ulimwengu wa teknolojia kimataifa.
" Tanzania imekuwa ikionekana kama nchi maskini. lakini Tanzania ni nchi yenye fursa nzuri. Kuna mamilioni ya Watanzania wenye vipaji wanaotaka kujenga ustawi wa nchi yao. Shukrani kwa Expa Labs, tunaunganisha Silicon Valley na Bonde la Ufa na kubadilisha taswira ya kilimo cha Kiafrika. "
NINAYO pia iliidhinishwa katika hotuba ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama wakati wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Wajasiriamali (GES) uliofanyika Silicon Valley tarehe 25 Juni 2016.
Jack Langworthy aliongeza: “Tuzo hii iliyotolewa kwa kampuni Kitanzajnia inaonyesha uwezo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki. Sisi hatujitolei au NGO, lakini kampuni inawekeza Tanzania kwa sababu tunaamini ni nchi nzuri yenye vipaji. Nairobi ni sehemu nzuri lakini haikutazanwa, kwa sababu Dar es Salaam inakuwa kitovu kipya .cha teknolojia. "
|
Labels
- .
- `
- 8
- AFYA
- AFYA.
- AJALI
- BIASHARA
- BURUDANI
- DINI
- ELIMU
- FILAMU
- HABARI
- HARUSI
- HOSPITALI
- I
- JAMII
- KATUNI
- Kii
- KILIMO
- KIMATAIFA
- KITAIFA
- Ku
- MAGAZETI
- Mahkamani
- MAISHA
- MAKALA
- MAKALA AFYA.
- MAKALA.
- MATUKIO
- MATUKIO.
- MICHEZO
- MITAANI
- MIUNDOMBINU
- MSAADA
- Ok
- SIASA
- TANGAZO
- TEKNOLOJIA
- UCHUMI
- UTAFITI
- UTALII
- VIDEO
- VIJANA
- WEZI
Tafsiri ya Lugha
Popular Posts
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsalimia na Mzee Omar...
-
Muonekano wa Jengo Jipya la Skuli ya Sekondari Kiwani lililojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kufunguliwa leo 23-4-2024 na Rais wa...
-
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka akiongea na Mabalozi katika warsha ya kutathimini utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje inayo...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi ya kikombe alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela ...
-
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza katika mkutano uliotishwa na Shirika la Fedha la Kimataifa IMF na kuwak...
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria ...
Home
HABARI
MATUKIO
KAMPUNI YA KITANZANIA YA NINAYO YASHINDA TUZO YA MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI KWENYE TUZO ZA UBORA ZA AMBA 2018 MJINI LONDON
KAMPUNI YA KITANZANIA YA NINAYO YASHINDA TUZO YA MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI KWENYE TUZO ZA UBORA ZA AMBA 2018 MJINI LONDON
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BLOGU RAFIKI
-
-
AGENDA YA KUTOKOMEZA MALARIA IWE YA KUDUMU KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI - Na WAF, TABORA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe...1 hour ago
-
Maisha : Kamati ya PIC Yaridhishwa na Uwekezajia wa Jengo la PSSSF Commercial Complex - *NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID* KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (Public Investment Committee-PIC), imeridhishwa na uwekezaji wa...4 weeks ago
-
MAHOJIANO YA TAUSI SUEDI NA AMRI NGOYE KUHUSU CSI KUPITIA KWANZA PRODUCTION NCHINI MAREKANI - Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl5 years ago
Marafiki Duniani
Popular Posts
-
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar majira ya mchana kwa Ndege na kuendelea na taratibu za Maziko yatafanyika katika Mtaa wa...
-
The United Republic Of Tanzania National Examination Council of Tanzania Form Four Examination Results 2017/2018 The National E...
-
Makamanda wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Waziri Kiongozi wa Kwanza wa Zanzibar na Brigedia Jenerali Mstaaf Ramadhani Haji Faki...
-
Na Miza Kona/Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar Jumla ya wanafunzi 16,744 wamechaguliwa kuendelea masomo ya kidatu cha tatu kati ya wanafun...
-
Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofa...
-
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SITA NA DARASA LA NNE YA MWAKA 2017, JUMATATU TAREHE 29 JANUARI 2018....
-
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafupi
-
Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za K...
No comments:
Post a Comment