Afisa Mdhamini Wizara ya Ardhi,
Maji na Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Awali akifungua kikao cha siku
mbili kwa wadau juu ya suala zima la huma ya nishati madala, kikao kilicho
mjini chake chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
Afisa Mdhamini Wizara ya Ardhi, Maji na Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Awali akifungua kikao cha siku mbili kwa wadau juu ya suala zima la huduma ya nishati madala, kikao kilichofanyika mjini chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WASHIRIKI
mbali mbali wa kikao juu ya suala zima la umeme wa nishati mabadala Kisiwani
Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Ardhi,
Maji, Nishati na mazingira Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUFUNZI
wa Mafunzo ya nishati mbala injinia Mathew Matimbwi, akiwasilisha mada mbali
mbali juu ya masuala ya nishati mbadala, kilichafanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WADAU
mbali mbali kutoka taasisi za serikali na mahoteli, wakifuatilia kwa makini
mada mbali mbali juu ya matumizi ya nishati mbadala, kikao kilichofanyika mjini
chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment