Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar Leo.23/2/2018.

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakifuatilia michango na Wajumbe wakiwa wa kuchangia Ripoti ya Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi leo asubuhi. 
 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Harusi akijibu Maswali yalioulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa kipindi cha maswali na Majibu leo asubuhi.
 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe. Mohammed Said Dimwa akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo. asubuhi.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Mohammed Ahmad, akijibu swali kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu asubuhi.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.