Habari za Punde

Maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar yazinduliwa

 Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Maonyeho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.
 -Kikundi cha Utamaduni cha Magereza kikitumbuiza kwa Ngoma ya Kibati  katika Ufunguzi wa Maonyeho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.

 Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu akitoa hotuba ya makaribisho katika Ufunguzi wa Maonyeho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.kulia yake ni Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Idi na kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe Said Hassan Said.

 Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Ufunguzi wa   Maonyeho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.
 Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.kulia yake ni Naibu Waziri wa Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Maalim na kushoto ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu na Mwengine ni Mkuu wa Mkoa Wa mjini Ayoub Mohammed Mahmoud.
  Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akipatiwa maelezo na Afisa Mipango Mkuu wa Mahkama Kuu Saada Mussa Shaaban mara baada ya kutembelea Banda hilo katika  Ufunguzi wa   Maonyeho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.
Afisa Uhusiano ZRB Makame Khamis Mohd kulia akitoa Elimu kuhusiana na maswala mbalibali ya ZRB kwa Wananchi  waliofika katika Banda hilo katika  Ufunguzi wa   Maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Sheria Zanzibar,katika Viwanja vya Maisara mjini Unguja  ambapo kilele chake kitakua tarehe 21-02-2018 Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.