Habari za Punde

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Pondeza Hamjad Atembelea Kituo cha Afya Chumbuni leo.

Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza (HAMJAD) akitoa damu mara ya kukabidhi kifaa hicho cha kuchunguza damu katika kituo hicho leo.
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza (HAMJAD) akiwatembelea wazazi wakati alipofanya ziara katika Jimbo lake leo na kuwatembelea Wazazi waliolazwa katika kituo hicho na baada ya kuruhusiwa na Wazira ya Afya Zanzibar kutowa huduma za uzalishaji kwa Kinamama, akimsalimia mmoja wa mzazi aliyelazwa katika kituo hicho bada ya kujifunga. 
MBUNGE wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akimpatia zawadi mzazi Leluu Khamis aliejifungua katika kituo hicho ikiwa ni ahadi aliyoiweka kwa wazazi kumi wa mwanzo watakaojifungua kituoni hapo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.