Habari za Punde

Mkuu wa Gereza la Ukonga Astaafu Utumishi wa Jeshi la Akihimiza Kuendelezwa Viwanda Vya Magereza.

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto), akikwagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo, Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila , akipunga mkono wa kwaheri  wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo. Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Gwaride la heshima likipita mbele ya Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, wakati wa hafla ya kumuaga kamishna msaidizi huyo iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kulia),akipongezwa na maafisa wa jeshi hilo baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo katika hafla iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, akipongezwa na mkewe Yunisi Mwaisabila (kulia), baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto) akipongezwa na mjukuu wake baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.