Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk Juma Mabodi Azungumza na WanaCCM Kisiwani Pemba Akiwa katika Ziara Yake.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk Abdulla Juma Saadalla, akisalimiana na viongozi wa chama cha Mapinduzi Tawi la Mwambe Wilaya ya Mkoani, katika ziara yake ya Kisiwani Pemba, kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020
NAIBU katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Mhe:Dk Abdulla Juma Mabodi, akizungumza na wanaCCM Tawi la Kendwa Wilaya ya Mkoani Pemba alipokuwa katika ziara yake Kisiwani Pemba kutembelea na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika utekelezaji wake kwa Wananchi.
MMOJA wa wanakaya masikini shehia Mwambe Salama Mohamed, akieleza mafanikio aliyoyapata tokea kuingia katika mpango wa kunusuru kaya masikini, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.