Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Uvuvi Mifugo na Maliasili Zanzibar Atembelea Kiwanda cha Utegenezaji wa Boti Fumba.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Uvuvi Mifugo na Maliasili Zanzibar Mhe. Maryam Mabodi akizungumza na Wafanyabiasha  wa Kiwanda cha Utegenezaji wa Boti  wakati wa ziara yake kukagua boti za Wizara  yake zikiwa katika matengenezo madogo katika Kiwanda hicho huko fumba Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.