Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. Azungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Bw. Mohamed Haji Hassan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya uteuzi wake na dhamana alizopewa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Bw. Mohamed Haji Hassan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya uteuzi wake na dhamana alizopewa. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.