Habari za Punde

Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar.


 Afisa wa Taasisi ya Viwango Zanzibar akitowa Elimu ya Viwango vya Matairi yanayoingizwa kuingizwa Zanzibar na Wafanyabiasha Kwa ajili ya Matumizi ya Magari yakiwa na Viwango vya kimataifa. Mafunzo hayo yamewashirikisha waingizaji wa Matairi na Wafanyabiasha kuweza kukidhi mahitaji ya matumizi ya Matairi hayo kupunguza ajali zinazosababisha na Matairi yanayoingizwa Zanzibar.
 Baadhi ya Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo ya Ubora wa Matairi.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.