Habari za Punde

Wasanii Kutoka Nchini Algeria Wakitowa Burudani Katika Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe

Wasanii kutoka Nchini Algeria wakilishambulia Jukwaa la Tamasha la Sauti la Busara Zanzibar wakipiga Muziki wa Reggae Rumba Band.Usiku huu katika viwanja vya Mambo Club Ngombe Kongwe Zanzibar na kutowa burudani kwa Wananchi waliofika katika Tamasha hilo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.