Habari za Punde

Benki ya NBC yawashukuru wateja waker Zanzibar

 Baadhi ya Wafanyakazi pamoja na Wateja wa Benki ya NBC waliohudhuria katika Tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki hiyo iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk,Khalid Salum Mohammed katikati akisalimiana na Viongozi wa Benki ya NBC mara baada ya kuwasili katika  Tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.

 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa NBC baada ya kuhudhuria katika tafrija maalum ya  kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar
 Mkurugenzi wa Wateja binafsi  Benki ya NBC Fillbert Mponzi akizungumza machache kuhusiana na maendeleo ya wateja wa Benki ya NBC  katika tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.

 Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya NBC Kassim Husein akieleza machache kuhusiana na Maendeleo ya Benki ya NBC katika   tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba katika tafrija maalum ya kuwashukuru wateja wa Benki ya NBC iliotimiza miaka 50,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.
 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba katika Tafrija maalum ilioandaliwa na Benki ya NBC iliotimiza miaka 50, kwa ajili ya kuwashukuru wateja wake hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akiwa pamoja na Viongozi wa NBC wakipata dhifa maalum ilioandaliwa na Benki hio iliotimiza miaka 50, kwa ajili ya kuwashukuru wateja wake hafla iliofanyika katika Hoteli ya Park Hayati Shangani mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.