Habari za Punde

Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa  Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.,Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Maudline Cyrus Castico kuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba, na Nishati  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa  Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Choum Kombo Khamis kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa   Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo.(Picha na Ikulu) 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Amina Salum Ali kuwa   Waziri wa Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa  Biashara,Viwanda na Masoko, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.    

 Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa baadhi ya Mawaziri walioteuliwa kuongoza wizara mbali mbali za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zabnzibar leo,[Picha na Ikulu,] 1/03/2018.  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Ali Abeid Karume kuwa Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa  Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Dkt.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa  Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri  asiyekuwa na  Wizara Maalum,  [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hamad Rashid Mohamed kuwa Waziri wa Afya katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,  [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.  Rashid Ali Juma kuwa  Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.  Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Shadya Mohammed Suleiman kuwa  Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar , [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.   


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hassan Khamis Hafidh kuwa  Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar , [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.   

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.HMmanga Mjengo Mjawiri kuwa  Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo Amali katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar , [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.