Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Akimuapisha Mawaziri na Manaibu Aliowateua Ikulu Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume, Ikulu leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume,Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Biashara Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali.Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Waziri wa Biashara Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali.Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, Ikulu leo.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya Kiapo ya Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Dkt. Sira Ubwa Mamboya, Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed Hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, Hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma, baada ya kumuapisha leo Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Salama Aboud Talib, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akumuapisha Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akishuhudia Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, baada ya kumaliza kula kiapo leo Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Cyrus Castico, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Cyrus Castico, baada ya kula kiapo, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Mhe. Juma Makungu Juma, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar. Mhe. Juma Makungu Juma, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Choum Kombo Khamis, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar. Mhe. Choum Kombo Khamis, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Makame Ali Ussi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Makame Ali Ussi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed Suleiman.Hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Hati ya Kiapo Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Shadya Mohammed Suleiman.Hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba Mhe.Issa Juma Ali.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akishuhudia Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba Mhe. Issa Juma Ali, akisaini hati yake ya kiapo .  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja Rajab Ali Rajab, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja Rajab Ali Rajab, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.