Habari za Punde

Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifo chake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji  wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) akiwaongoza Viongozi na Waislamu mbali mbali katika  Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume  iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja  ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018. 

 Viongozi na Mashekhe ni miongoni mwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika  Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume   ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018. 

 Akina Mama na Vijana wa Madrasa wakisoma Dua wakati wa  Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume   ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.