Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza Mhe. Penny Mordaunt jijini London.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza Mhe. Penny Mordaunt jijini London.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza Mhe. Penny Mordaunt jijini London
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza Mhe. Penny Mordaunt na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Agustine Mahige jijini London
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mbele ya Balozi wa Tanzania Nchi Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro jijini London. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment