Habari za Punde

Mchezo wa Tamasha la Pasaka Kati ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Kamisaa wa mchezo huo wa maadhimisho ya Tamasha la Pasaka uliozikutanisha Timu ya Wazee Arusha Sports Club na Baraza la Wawakilishi Sports Club uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club kabla ya kuaza mchezo wao wa Tamasha la Pasaka na wageni wao Timu ya Wazee Arusha  Sports Club, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Viongozi wa Timu hizo wakiwasalimiana wachezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa maadhimisho ya Tamasha la Pasaka.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.