Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein, Azungumza na Mabalozi wa Tanzania Walipofika Kujitambulisha na Kumuaga Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu akiwa  Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda  akiwepo Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni .[Picha na Ikulu.]06/04/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.