Habari za Punde

Wanafunzi Kisiwani Pemba Wapata Elimu ya Kodi Zanzibar.

Ofisa Elimu na huduma kwa walipa Kodi kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Abdalla Seif Abdalla, akitowa mafunzo yanayohusiana na ulipaji Kodi kwa Wanafunzi wa Skuli ya Chasasa Sekondari Wete Pemba .
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Chasasa Sekondari Wete Pemba, wakiwa katika mafunzo ya ulipaji Kodi kutoka taasisi zinazosimamia Kodi yaani TRA na ZRB Pemba , wanafunzi hao ni miongoni mwa walio katika mchepuo wa Biashara katika Skuli hiyo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Chasasa Sekondari Wete Pemba, wakiwa
katika mafunzo ya ulipaji Kodi kutoka taasisi zinazosimamia Kodi yaani
TRA na ZRB Pemba , wanafunzi hao ni miongoni mwa walio katika mchepuo
wa Biashara katika Skuli hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.