Habari za Punde

Waziri wa Afya mgeni rasmi katika sherehe ya ufungaji wa mafunzo ya kutengeneza mikoba na mazulia

 Mwakilishi wa Jimbo la Gando Mhe. Maryam Thani Juma akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba yaliyoandaliwa na Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibae (ZEDO) yaliyofanyika Ofisi ya Umati na Malezi Bora Tanzania iliyopo Wete Pemba.

 Wajasiriamali wa vikundi mbali mbali vya Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa mikoba na mazulia yaliyoandaliwa na (ZEDO) yaliyofanyika Wete Pemba.
 Wajasiriamali wa vikundi mbali mbali vya Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa mikoba na mazulia yaliyoandaliwa na (ZEDO) yaliyofanyika Wete Pemba.
 Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman katika sherehe ya ufungaji wa mafunzo ya siku tatu ya utengenezaji wa mikoba na mazulia yaliyofanyika Ukumbi wa Jamuhuri Holl Wete Pemba.

 Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akifunga mafunzo ya utengezaji wa Mikoba na Mazulia katika 
Ukumbi wa Jamuhuri Holl Wete Pemba.
Mwenyekiti wa Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibae (ZEDO) Ussi Said Suleiman (kulia) akiagana na 

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed mara baada ya kuyafunga mafunzo kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba. 


Picha na Makame Mshenga Pemba.​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.