Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango,
akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya
Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa
Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano
huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF),Dk. Tausi
Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo
wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala
mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt, akizungumza
wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera
za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo
ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika
leo,jijini Dar es Salaam.
Profesa Joseph Stiglitz akitoa mada katika Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi
ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) waki shirikiana na Ubalozi wa
Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano
huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam
Washiriki
wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na
Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa
wakati wa mkutano huo unaofanyika leo jijini Dar es Salaam. .Picha na Abubakari Akida.
No comments:
Post a Comment