Waziri wa Michezo Vijana Utamaduni na Sanaa Zanzibar Mhe. Balozi Ali Abeid Karume akiwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar katika Mkutano wa Kumi Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar, kwa ajili kuchangiwa na kupitisha Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.
WALIMU SIMANJIRO WAJENGEWA UWEZO SIS
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
WAKUU wa shule za sekondari na msingi wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
wamejengewa uwezo wa kuandaa taarifa za shule kutoka...
4 hours ago
0 Comments