Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akihutubia Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi IPA Tunguu wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Vikalio kwa ajili ya kusomea Wanafunzi wa Chuo hicho vilivyojengwa kupitia Ufadhili wa Kampuni ya PennyRoyal Zanzibar Limited kupitia Mradi wake wa Blue Amber.Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Tunguu Zanzibar.
RUGAMBWA ATEULIWA KAMATI YA MASHINDANO CHAMA CHA SOKA MKOA WA SONGWE
-
Chama cha Soka Mkoa wa Songwe imemtetua Ndugu Juvenalius Rugambwa kuwa
mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Chama cha Soka Mkoani humo SOREFA.
Rugambwa,...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment