Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azindua Utoaji wa Ruzuku Kwa Skuli za Sekondari Zanzibar.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifungua pazia kama ishara ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari sherehe iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi   Mwalimu Abdalla Mohamed Abdulla (kulia) wa Skuli ya  Chokocho Mkoa wa Kusini Pemba, Mfano wa hundi ya Shilingi Millioni Sita Laki Saba na Miatano katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja (wapili kulia) Cornelia Jesse Mwalikishi wa Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bella Bird na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi   Mwalimu Abdalla Mohamed Abdulla (kulia) wa Skuli ya  Fundo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mfano wa hundi ya Shilingi Millioni Mbili  Laki Nane Sitini na Nane Elfu,Mia saba na Hamsini, katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil Nombe, Kikwajuni Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Elimu,Taasisi mbali mbali ,Walimu na Wanafunzi katika  sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali ,Wizara ya Elimu,Walimu na Wanafunzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozumza nao leo katika  sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika  katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali ,Wizara ya Elimu,Walimu na Wanafunzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozumza nao leo katika  sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika  katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 19/05/2018.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.