Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Shein Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Unguja Kuzungumza na Mabalozi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati  leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Sauda Ramadhan Mpambalioto mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati  leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati uliofanyika  leo
Viongozi,Watendaji wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mabalozi wa Wilaya ya Kati wakiimba wimbo wa Taifa “Sisisote Tumegomboka” wakati wa mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala akisoma baadhi ya vifungu vya Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM wakati wa mkutano wa Viongozi wa Mashina,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati Unguja leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Kati baada ya kusomwa na Balozi Mkombe Vuai Khamis katika  mkutano wa Viongozi Mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina  wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina  wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali
Mabalozi wa  Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)uliofanyika leo katikaUkumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na Watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Mabalozi wa CCM wa Shehia mbali mbali katika Wilaya ya Kati wakinyoosha mikono Juu kuungamkono Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa Viongozi hao na ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na Ikulu.] 05/05/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.