Wanafunzi wa Skuli na Vyuo Vikuu Zanzibar wakiwa katika bustani za Weles Unguja wakiwa katika makundi wakijisomea kwa pamoja kujiandaa na mitihani yao.Kama walivyokutwa katika bustani hiyo wakiwa katika harakati hizo leo.
msimu wa tatu wa mbio za Stop GBV Half Marathon katika mji Mkongwe Zanzibar
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,Ndugu Fatma
Hamad Rajab akishirikiana na Kamati ya Maandalizi ya Msimu wa tatu wa mbio
za ...
19 minutes ago
No comments:
Post a Comment