Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama
cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James (wapili kulia), Mwakilishi wa Jimbo la
Kikwajuni, Nassoro Salim Jazeera (wakwanza kulia) na Mbunge wa jimbo hilo
wakiwakabidhi kombe wachezaji wa timu ya Miembeni baada ya kuibuka washindi
katika mchezo wa fainali ya Mashindano ya Masauni-Jazeera kwa kuifunga timu ya
Kilimani bao 1-0.Mchezo huo umefanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kikwajuni
visiwani Zanzibar
Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama
cha Mapinduzi(UVCCM), Kheri James (kulia),akimkabidhi
nahodha wa timu ya Kilimani, zawadi ya mipira baada ya kuibuka washindi wa pili
katika mchezo wa fainali ya Mashindano
ya Masauni-Jazeera .Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad
Masauni. Mchezo huo umefanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Kikwajuni
visiwani Zanzibar
Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama
cha Mapinduzi(UVCCM), Kheri James, akionyesha fedha kabla ya kuwakabidhi washindi wa Fainali ya
Mashindano ya Masauni-Jazeera ambapo timu ya Miembeni iliibuka na ushindi wa
bao 1-0.Wakwanza kulia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassoro Salim
Jazeera na watatu ni Mbunge wa Jimbo hilo, Mhandisi Hamad Masauni. Mchezo huo
umefanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Kikwajuni visiwani Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad
Masauni, akizungumza na wachezaji na mashabiki waliofika kushuhudia mchezo wa
fainali ya Mashindano ya Masauni- Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja, Kikwajuni Visiwani Zanzibar, ambapo timu ya Miembeni walibuka mabingwa
baada ya kuifunga timu ya Kilimani bao 1-0
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar,
Dk. Abdulla Juma Saadalla, akizungumza na wachezaji na mashabiki waliofika
kushuhudia mchezo wa fainali ya Mashindano ya Masauni- Jazeera uliofanyika
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kikwajuni Visiwani Zanzibar, ambapo timu ya
Miembeni walibuka mabingwa baada ya kuifunga timu ya Kilimani bao 1-0.Wengine
meza kuu ni Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha
Mapinduzi(UVCCM), Kheri James na Mbunge wa Jimbo la Kiwajuni,Mhandisi Hamad
Masauni
Mwenyekiti wa Taifa wa
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James(kulia) na Mbunge wa
Jimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni, wakiteta jambo wakati wa fainali ya Mashindano
ya Masauni- Jazeera iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
No comments:
Post a Comment