Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Azungumza na Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale  katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Habari,Utalii na Mambo ya Kale Bi.Khadija Bakari Juma (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Wizara yake katika kikao cha siku moja  cha Uongozi wa Wizara hiyo  cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mshauri wa Rais masuala ya Uwezeshaji na Uwekezaji Mhe.Abdulrahman Mwinyi Jumbe
Baadhi ya Viongozi mbali mbali  katika Idara za  Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Nd,Hassan Vuai alipokuwa akijibu masuala yaliyoulizwa katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Naibu Mkurugenzi Idara habari Maelezo Zanzibar Dkt.Juma Mohamed
Baadhi ya  Maafisa katika Idara mbali mbali  za  Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]27/06/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.