Habari za Punde

Haile Selasie Mabingwa Mchezo wa Mpira wa Kikapu Skuli za Wilaya ya Mjini Kwa Kuifunga Skuli ya Hamjambo Kwa Vikapu 27 - 21 Mchezo Uliofanyika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. In

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Haile Seilasie wakishangilia Ubingwa Wao wa Michuano ya Kombe la Mpira wa Kikapu Michuano ya Elimu Bila Malipo Wilaya ya Mjini Unguja baada ya Kuifunga Skuli ya Sekondari ya Hamamni katika mchezo wa fainali Uliofanyika Katika Uwanja wa Maisara Unguja asubuhi leo.

Wanafunzi wa Skuli ya Haile wakishangilia Ubingwa wao wakielekea katika maeneo ya Skuli baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Basketi Maisara Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.