Habari za Punde

IPIGIE KURA NA IWEZESHE NGOMA AFRICA BAND ISHINDE TUZO YA KIMATAIFA

Kama wewe ni mzalendo wa kweli ni wakati wako sasa wa kuipigia kura na kuiwezesha bendi pendwa ya Ngoma Africa Band alimaarufu kwa majina kama FFU-Ughaibuni au "Viumbe wa Ajabu Anunnaki aliens " ambao kwa mara nyingine wameteuliwa kugombea TUZO ya kimataifa barani ulaya,mnaombwa kuiwezesha na kuipigia kura bendi hiyo  kwa kubofya link hii chini alafu piga kura kwa kugonga Ngoma Africa band,
UMOJA NI NGUVU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.