Kamishna
wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akizungumza
wakati wa kikao na Uongozi wa Benki ya CRDB, walipotembelea Makao Makuu ya
Benki hiyo, jijini Dar es Salaam. (Wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi wa Benki ya
CRDB, Dkt. Charles Kimei
Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (wa kwanza kushoto) akizungumza na Kamishna
wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (wa kwanza kulia)
pamoja na maafisa wa Jeshi hilo, mikakati ya kudumisha uhusiano baina ya Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji na Benki ya CRDB, wakati wa kikao na Uongozi wa Benki ya
CRDB, walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini Dar es Salaam
Mrakibu
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Peter Mabusi, akifafanua jambo kwa Uongozi
wa Benki ya CRDB, wakati wa kikao walipotembelea Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini
Dar es Salaam. (Wa kwanza kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt.
Charles Kimei na (wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, Billy Mwakatage.
Kamishna wa Operesheni wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage (watano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (mwenyesuti nyeusi), Maafisa wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji waliombatana na Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo na
Viongozi Waandamizi wa Benki ya CRDB, jijini Dar es Salaam. Picha
na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
No comments:
Post a Comment