Habari za Punde

Mapinduzi Square Michezani Zanzibar Makumbusho ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mnara wa Makumbosho ya Mapinduzi ya Zanzibar Mapinduzi Square Michezani ukiwa na Vitu mbalimbali ya kumbukumbu ya Zanzibar wakati wa Mapinduzi, Vikiwa vimeweka kumbukumbu kwa Wananchi na Wageni wanaotembelea Mnara huo, ulioko katika eneo la michezani Kisonge Zanzibar.

Baskeli ikiwa katika Makumbusho ya Mapinduzi Zanzibar amboyo imetumiwa na Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Muasisi wa Afro Sharazi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, ikiwa katika makumbusho hayo.
Kisanduki cha Kupigia Kura kikitumika katika Chaguzi za Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.