Habari za Punde

Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais. wa Zanzibar Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  katika Utekelezaji mpango kazi kwa kwa kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi  Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (wa pili kulia) alipokuwa akichangia katika mkutano wa  Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  katika Utekelezaji mpango kazi kwa  kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  katika Utekelezaji mpango kazi  kwa kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Naibu Waziri katika  Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mihayo Juma N'hunga  alipokuwa akichangia katika mkutano wa  Uongozi wa Wizara hiyo wa   Utekelezaji mpango kazi  kwa kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waizi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  Mohamed Aboud Muhamed na  Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi  Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Nd, Raya Issa Mselem   alipokuwa akichangia katika mkutano wa  Uongozi wa   Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  katika  Utekelezaji mpango kazi  kwa kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar   chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na  Naibu Waziri katika  Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mihayo Juma N'hunga 
Mkurugenzi wa Idara ya Watu Wenye Ulemavu Abeda Rashid Abdalla alipokuwa akitoa maelezo kuhusu idara yake katika Mkutano wa Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  katika Utekelezaji mpango kazi  kwa kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Viongozi mbali mbali katika  Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakiwa  katika kikao cha Utekelezaji mpango kazi  kwa kipindi  cha Julai-Juni kwa mwaka wa fedha 2017-2018 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ,[Picha na Ikulu.] 02/07/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.